HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, December 1, 2011

Rais Kikwete akifurahia jambo na Rais Mstaafu wa Marekani Mh. George Bush

Rais Jakaya Kikwete akipongezwa leo na Rais Mstaafu wa Marekani Mh George W. Bush kwa sera nzuri za serikali yake kuhusu huduma za afya nchini hasa juhudi zinazofanyika kudhibiti malaria, ukimwi na saratani Ikulu jijini Dar es salaam leo. Picha na Ikulu

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad