HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, December 1, 2011

Kampuni ya Michezo ya kubahatisha nchini ya WINLOT yazinduliwa rasmi leo jijini Dar

Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini, Abbas Tarimba akitoa hotuba yake wakati wa hafla fupi ya uzinduzi rasmi wa kampuni ya michezo ya kubahatisha nchini ya WINLOT,uliofanyika kwenye ukumbi wa Kivukoni ndani ya Hoteli ya Serrena (zamani Movenpick),jijini Dar es Salaam leo.
Mtendaji Mkuu wa kampuni ya SUGAL & DAMANI, Kamlesh Vijay akizungumza wakati wa hafla fupi ya uzinduzi rasmi wa kampuni ya michezo ya kubahatisha nchini ya WINLOT,uliofanyika kwenye ukumbi wa Kivukoni ndani ya Hoteli ya Serrena (zamani Movenpick),jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampunu ya Michezo ya kubahatisha nchini ya WINLOT Tanzania, Arvind Dhariyal akizungumza wakati wa hafla fupi ya uzinduzi rasmi wa kampuni ya michezo ya kubahatisha nchini ya WINLOT,uliofanyika kwenye ukumbi wa Kivukoni ndani ya Hoteli ya Serrena (zamani Movenpick),jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi wa Masoko kwa Kampunu ya Michezo ya kubahatisha nchini ya WINLOT,Amani Honestus akifafanua jambo wakati wa hafla fupi ya uzinduzi rasmi wa Kampuni ya Michezo ya kubahatisha nchini ya WINLOT,uliofanyika kwenye ukumbi wa Kivukoni ndani ya Hoteli ya Serrena (zamani Movenpick),jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini, Abbas Tarimba akimuuzia tiketi ya bahati nasibu mmoja wa wakala wa Kampuni ya Michezo ya kubahatisha ya WINLOT, Sameer Hiri kuashiria uzinduzi rasmi wa kampuni hiyo,uliofanyika kwenye ukumbi wa Kivukoni ndani ya Hoteli ya Serrena (zamani Movenpick),jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini, Abbas Tarimba akimkabidhi zawadi ya redio ya kisasa ya LG, mshindi wa kwanza wa mchezo wa kubahatisha uliochezeshwa hapo hapo, Dorice Emmanuel wakati wa uzinduzi rasmi wa Kampuni ya Michezo ya kubahatisha nchini ya WINLOT, jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini, Abbas Tarimba akimkabidhi zawadi ya Kamera ndogo aina ya Sony Cybershoot, mshindi wa pili wa mchezo wa kubahatisha uliochezeshwa hapo hapo, Fadhili Akida wakati wa uzinduzi rasmi wa Kampuni ya Michezo ya kubahatisha nchini ya WINLOT, jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi wa Masoko kwa Kampunu ya Michezo ya kubahatisha nchini ya WINLOT,Amani Honestus akinikabidhi zawadi ya Tisheti na Kofia mara baada ya kushinda Bahati nasibu iliyochezeshwa leo wakati wa uzinduzi rasmi wa Kampuni ya Michezo ya kubahatisha nchini ya WINLOT, jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa ITV/Radio One,Joyce Mhavile akiuliza swali kuhusiana na Michezo hiyo ya Kubahatisha mara baada ya kuzinduliwa rasmi kwa Kampuni ya Michezo ya kubahatisha nchini ya WINLOT.
Baadhi ya wageni waalikwa waliofika kwenye uzinduzi rasmi wa Kampuni ya Michezo ya kubahatisha nchini ya WINLOT,uliofanyika kwenye ukumbi wa Kivukoni ndani ya Hoteli ya Serrena (zamani Movenpick),jijini Dar es Salaam leo.

1 comment:

  1. Hii inaonesha itakuwa ni Bab k sio kama ile lotto ya kisanii ya wale jamaa zetu!

    ReplyDelete

Post Bottom Ad