Mbunge wa jimbo la Singida Mjini Mh. Mohammed Dewji Akihutubia waumini wa Msikiti wa Rahman Kindai, katika halfa hiyo MO alichangia mifuko 500 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa Msikiti huo.
Mbunge wa jimbo la Singida Mjini Mh. Mohammed Dewji akiambatana na vionozi wa kanisa la FPCT kuelekea kwenye uzinduzi wa kituo cha vijana wa kanisa hilo.
Mbunge
wa jimbo la Singida Mjini Mh. Mohammed Dewji "MO" akisalimiana na
waumini wa kanisa la FPCT wakati wa hafla ya uzinduzi wa kituo cha
vijana wa Kanisa hilo.
Askofu
mkuu wa kanisa la FPCT Paul Samwel akimkabidhi zawadi ya Mbuzi Mbunge
wa jimbo la Singida Mjini Mh. Mohammed Dewji kama shukrani ya kutembelea
kanisa hilo.
Mbunge
wa jimbo la Singida Mjini Mh. Mohammed Dewji akizindua kituo cha vijana
cha kanisa la FPCT eneo la Mwenge mjini Singida, anayeshuhudia na
Askofu Mkuu wa kanisa hilo Paul Samwel .
Mh. Mohammed Dewji akijumuika na Vijana wa kanisa la FPCT kucheza kwaya.
No comments:
Post a Comment