Sehemu ambayo wadau wa vodacom kitengo cha Mauzo walipofanyia team building ambayo inayojulikana kama beach komba .
Manager wa
Vodacom kitengo cha Sales (Telesales) Christina
Tungaraza (katikati),akifungua shughuli yenyewe,pamoja na kukaribisha baadhi ya
wafanyakazi walio onyesha umahiri wao katika kazi na kuwazawadia zawadi
aina ya kamera ya Samsung yenye dhamani zaidi ya Tsh 300000/= kila
moja
Manager wa
Sales (Telesales) katikati akiwa na Team leader Yasimin Monyoti upande
wa kulia na Mwashasha Francis wakiwa kwenye swimming Pool pamoja
akishiriki kwa pamoja michezo ya kuogelea
Wafanyakazi
Baadhi wa Vodacom kitengo Sales(Telesales) wakishiriki kwa pamoja
michezo ya kuogelea na baadhi ya michezo mbalimbali iliyo fanyika katika
eneo la Beach komba
Katika Picha ya pamoja wana Telesales.Picha na http://fununuhabari.blogspot.com/
No comments:
Post a Comment