HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, November 15, 2011

Grand malt yadhamini Mahafali ya chuo kikuu cha mkwawa mkoani iringa

Mkuu wa kitengo cha Elimu na utawala wa Chuo kikuu cha Mkwawa mkoani iringa,Prof G. D Mrema akizungumza na wahitimu wa shahada mbalimbali wakati wa mahafali ya chuo hicho, Mahafali hayo pia yalitumika kama sehemu ya maadhimisho ya kutimiza miaka 50 ya chuo hicho.
Mmoja kati ya mwanafunzi wa Mwaka wa Pili kitivo cha Kemia alietunikiwa Kompyuta aina ya Laptop toka kinywaji cha Grand Malt kwenye mahafali ya chuo kikuu Mkwawa mkoani Iringa.anaemkabidhi zawadi hiyo ni Mkuu wa chuo hicho Prof Pak Mushi.
Mmoja kati ya mwanafunza wa Mwaka wa kwanza kitivo cha Kemia alietunikiwa Kompyuta aina ya Laptop toka kinywaji cha Grand Malt kwenye mahafali ya chuo kikuu Mkwawa mkoani Iringa,anaemkabidhi zawadi hiyo ni Mkuu wa chuo hicho Prof Pak Mushi.
wahitimu wa Shahada ya Elimu wakitoa salamu ya Heshima kwa mgeni rasmi kabla ya kutunukiwa vyeti vya shahada ya kwanza kwenye mahafali ya Chuo kikuu cha Mkwawa yaliyodhaminiwa na kinywaji cha Grand Malt kinachotengenezwa na kampunin ya bia Tanzania (TBL).

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad