HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, November 22, 2011

AIRTEL YAZAWADIA WAFANYAKAZI WAKE WALITOA HUDUMA BORA KWA JAMII NA KAMPUNI MSIMU WA PILI MWAKA 2011

Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania Sam Elangallor (kulia) akimpongeza na kumzawadia zawadi ya ufanyakazi bora Bw Caroline Kakwezi toka Airtel kitengo cha Masoko, zawadi hizo ni vyeti pamoja na vitu vingine vya pongezi maalum za msimu wa pili wa biashara wa Airtel kwa mwaka huu, hafla ya makabidhiano ilifanyika mwishioni mwa wiki, Airtel Tanzania inautaratibu wakupongeza na kutoa zawadi kwa Wafanyakazi wake kila msimu wa mwaka ili kutoa chanagamoto zaidi kwa wafanyakazi kufikia lengo na kufikisha huduma bora kwa wananchi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania Sam Elangallor (kulia) akimpongeza na kumzawadia zawadi ya ufanyakazi bora Bi Mariam Ikoa toka Airtel kitengo cha Masoko, zawadi hizo ni vyeti pamoja na vitu vingine vya pongezi maalum za msimu wa pili wa biashara wa Airtel kwa mwaka huu, hafla ya makabidhiano ilifanyika mwishioni mwa wiki, Airtel Tanzania inautaratibu wakupongeza na kutoa zawadi kwa Wafanyakazi wake kila msimu wa mwaka ili kutoa chanagamoto zaidi kwa wafanyakazi kufikia lengo na kufikisha huduma bora kwa wananchi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania Sam Elangallor (kulia) akimpongeza na kumzawadia zawadi ya ufanyakazi bora Bw Bahati Straton wa mfanyakazi wa Airtel kitengo cha Airtel Money, zawadi hizo ni pongezi maalum za msimu wa pili wa biashara wa Airtel kwa mwaka huu zilitolewa mwishioni mwa wiki wakati wa hafla maalum iliyoandaliwa na Airtel kwaajili ya wafanyakazi katika vitengo mbalimbali, Airtel Tanzania inautaratibu wakupongeza na kutoa zawadi kwa Wafanyakazi wake kila msimu wa mwaka ili kutoa chanagamoto zaidi kwa wafanyakazi kufikia lengo na kufikisha huduma bora kwa wananchi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad