HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, October 26, 2011

WAANDISHI WA HABARI WAKIWA KWENYE MAANDALIZI YA MKUTANO WA CHOGM 2011- AUSTRALIA


Baadhi ya waandishi wa habari wakisubiri kupatiwa maelekezo na ungozi wa CHOGM kwaajili ya maeneo stahili ya kufanyia kazi. wakati wa mkutano wa wakuu wa nchi wanachama wajumuia ya madola.
eneo la mapokezi kwa waandishi wa habari wanaoshiriki kwenye mkutano wa Wakuu wa nchi wanachama wa Jumuia ya Madola CHOGM
2011 (Commonwealth Heads of State Government mjini Perth Australia
Sehemu maalumu ya kufanyia kazi waandishi wa habari watakaohabarisha matukio mbalimbali ya mkutano wa wakuu wa nchi wanachama wa jumuia ya madola (CHOGM ) mjini Perth Australia kuanzia oktoba 28- 30, 2011 . Mkutano wa CHOGM hufanyika kila baada ya miaka miwili, -Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad