HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 10, 2011

mtaani kwetu wameamua kupanda maua katikati ya njia

 Mtaani kwetu leo nimeona wamepanda maua katikati ya njia ili kuzuia magari yasikanyage bomba la maji lililopasuka,wadau hili limekaaje??

3 comments:

  1. Kama kawa. Maji yana potea, upande mwingine watu wanakosa maji. nani wa kulaumiwa? na wenye magari watajiju!

    ReplyDelete
  2. Unadhani Muungwana huo kapanda ua!!! Hiyo ni ROAD SIGN kuwa kuna HANDAKI mbele kwa hiyo kuwa makini.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad