Kiongozi wa Bendi ya Extra Bongo Next Level,Ali Choki (kati) akiwa sambamba na mwimbaji mkongwe,Rogat Hega Katapila pamoja na waimbaji wengine wa bendi hiyo katika moja ya onyesho walilolifanya kwenye Klabu ya Masai iliopo Ilala Jijini Dar es Salaam.
Wacheza shoo wa Bendi ya muziki wa Dansi ya Extra Bongo Next Level
wakicheza wakati wa onyesho walilolifanya kwenye Klabu ya Masai zamani
Galapo Ilala Jijini Dar es Salaam.
Mwimbaji wa Bendi ya muziki wa Dansi ya Extra Bongo Next Level,Bob Kissa
(wa pili kushoto) akicheza sambamba na wacheza shoo wa Bendi hiyo
wakati wa onyesho walilolifanya kwenye Klabu ya Masai zamani Galapo
Ilala Jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment