HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, September 9, 2011

timu ya Baraza la wawakilishi yaelekea Arusha kwa Mchezo dhidi ya Klabu ya Wazee ya mkoa huo

 Meneja Wa Kinywaji cha GrandMalt, Consolata Adam akizugumza na waandishi wa habari wakati wa kuiaga timu wa Baraza la Wawakilishi ya Zanzibar iliyokuwa ikielekea mkoani Arusha ambapo itacheza mchezo mmoja na timu ya Klabu ya Wazee wa mkoa huo hapo siku ya Jumapili ya Septemba 11.
 mwakilishi wa jimbo la Kipeta, Mh Makame Mbaruku ambae ni mshambuliaji wa timu ya baraza la wawakilishi akizungumza na waandishi jinsi walivyojiandaa na mchezo huo.
 Timu ya Baraza la Wawakilishi ikiwasili katika bandari ya jijini Dar es Salaam tayari kwa safari ya kuelekea mkoani Arusha kwa ajili ya mchezo wao dhidi ya timu ya Klabu ya wazee wa mkoa huo.
Timu ya Baraza la Wawakilishi la Zanzibar ikiwa katika picha ya pamoja na Meneja wa Kinywaji cha Grand Malt ambao ndio wadhamini wakuu wa mchezo huo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad