HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, September 13, 2011

REDD'S MISS ILALA ASHINDA TAJI LA VODACOM MISS TANZANIA 2011

Meneja wa kinywaji cha Redds Victoria Kimaro akimpongeza mshindi wa Vodacom Miss Tanzania (2011 - 2012) Sarha Israel ambaye ni pia Redds Miss Ilala Salha Israel baada ya kuibuka mshindi katika shindano lililofanyika juzi usiku kwenye ukumbi wa mlimani.
Meneja wa kinywaji cha Redds Victoria Kimaro akipongezana na Mwandaaji wa Miss Ilala Jackson Kalikumtima.
Mmoja wa watangazaji wa Clouds FM,Millard Ayo akifanya mahojiano huku pembeni yake akisindikizwa na Meneja wa mawasiliano na habari za mtandao wa kampuni ya Vodacom Tanzania Martina Nkuru.
Meneja wa kinywaji cha Redds akiingia ukumbini kabla ya kujua kuwa mrembo aliyebeba jina la Redds kuwa angeibuka na ushindi wa Miss Tanzania.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad