HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, July 15, 2011

Warembo wa Redd's Miss Kinondoni watoa msaada kwa watoto yatima


Warembo wa Redd's Miss Kinondoni wakiwa wamebeba bidhaa kwa ajili ya kuwakabidhi watoto yatima wa kituo cha THM.

 Washiriki wa Redd's Miss Kinondoni wakiwa katika picha ya pamoja na watoto wa kituo cha kulelea watoto yatima cha TMH (Tanzania Mitindo House) mara baara ya Warembo hao kuwapatia msaada wa vyakula na mahitaji mengine watoto wa kituo hicho.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad