HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, July 16, 2011

vodacom yawaandalia warembo wa ilala na kinondoni siku ya mazaoezi ya viungo

Warembo wanaoshiriki Vodacom Miss Ilala na Kinondoni wakiwa katika mazoezi ya viungo ya pamoja yaliyoandaliwa na wadhamini wakuu wa mashindano hayo Vodacom Tanzania katika viwanja vya Kijitonyama jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa walimu wa Maoezi ya viungo kutoka Gym ya Genesis iliyopo Kijitonyama akitoa mazoezi ya viungo kwa warembo wa Vodacom Miss Ilala na Miss Kinondoni ambao walishiriki katika mazoezi ya pamoja yaliyoandaliwa na Vodacom Tanzania.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad