Mkuu wa Mkoa wa Tabora ,Mh.Abeid Mwinyimsana akiwa pamoja na Mkurugenzi wa Chief Promotions Bw.Amon Mkoga wakiwasabahi wasanii wa Ngoma maarufu kama MASWEZI ambayo Baba wa Taifa alikuwa akiitumia kipindi cha haraki za Uhuru,wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Mtemi Mirambo linalofanyika kila mwaka mkoani Tabora na kudhaminiwa na TBL kupitia bia ya Balimi,Geita Goldmine,Swiss Cooperation,Fly 540,NSSF,NBS BUS,UNESCO,TTB,Channel Ten na Magic FM.
Mkuu wa mkoa mhe.Abeid Mwinyimsa akirusha mshale juu kuashiria uzinduzi rasmi wa Tamasha hilo.
Msanii Ali Mango alionyesha umahiri wake wa kuchezea na nyoka katika Tamasha hilo.
No comments:
Post a Comment