Mgambo wa Jiji leo walimkamata huyu jamaa (jezi) ambaye alikuwa anauma maembe katikati ya jij na kuanza kulumbana wakati wakitaka kuchukua maembe hayo na si kumchukua na yeye kwenda nae kunakohusika.hali kama hii imekuwa ikitokea mara kwa mara hapa jijini Dar na hakuna hatua zozote zinazochukuliwa kwa hawa Mgambo wa jiji ambao mara nyingi hujichukulia sheria mikononi mwao.

Mgambo akijihesabia Maembe kana kwamba anajua hata bei yake ya kununulia huko sokoni.
watu huku wanajenga meli kubwa, (korea kusini) na hapo tanzania sisi tunashugulika ku bomoa bomoa roho na mali wauza maembe. what is wrong with this picture? kuna makosa gani kwenye hiyo picha hapo tanzania...lini tuanze kujifunza kujenga hiyo inchi yetu....acheni kubomoa bomoa jamani - ikiwa mfanyabiashara mdogo au mkubwa...anzeni kufikiria namna kujenga...na haya mafikra ya kujenga itatusogeza mbele...Mungu ibariki Tanzania
ReplyDelete