HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, June 13, 2011

ZIFF KICK-OFF PARTY, BILICANAS DAR YANG'ARA

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Dully Sykes akiwapagawisha mashabiki waliojitokeza ndani ya ukumbi wa Club Billicanas jijini Dar es Salaam katika uzinduzi wa tamasha la Zanzibar Film Festival (ZIFF) linalotarajiwa kufanyika mjini Zanzibar kuanzia tarahe June 18 -24, 2011 ndani ya Ngome Kongwe.

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoa kundi la Tip Top Connection Tunda Man akiwapadozi ya burudani mashabiki waliojitokeza ndani ya ukumbi wa Club Billicanas jijini Dar es Salaam katika uzinduzi wa tamasha la Zanzibar Film Festival (ZIFF) linalotarajiwa kufanyika mjini Zanzibar kuanzia tarahe June 18 -24, 2011 ndani ya Ngome Kongwe.
Umati wa mashabiki waliojitokeza ndani ya ukumbi wa Club Billicanas jijini Dar es Salaam katika uzinduzi wa tamasha la Zanzibar Film Festival (ZIFF) linalotarajiwa kufanyika mjini Zanzibar kuanzia tarahe June 18 -24, 2011 ndani ya Ngome Kongwe.

Picha kwa hisani ya Cathbert Angelo wa Kajunason Blog

Gonga hapa www.kajunason.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad