HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, June 24, 2011

NAPE NNAUYE AKUTANA NA WANALIBENEKE (BLOGGERS) JIJINI DAR LEO

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Taifa, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na watayaraishaji na waendeshaji wa mitaandao ya habari na mawasiliano ya Blogu (hawapo pichani), katika ukumbi wa sekretarieti, kwenye Ofisi Ndogo ya Makao makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba, Dar es Salaam. Nape aliwaita na kuzungumza nao kuhusu masuala mbalimbali ya jamii na kufahamiana nao kwa wadhifa wake na kutambua uwepo wao katika sekta ya habari na mawasiliano.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Taifa, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akiendelea kufanya mazungumzo na baadhi ya Wanablogu waliofika leo katika ukumbi wa Sekretarieti,ofisi ndogo ya CCM Lumumba jijini Dar.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Taifa, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akiwa katika picha ya pamoja na watayarishaji wa mitandao ya amawasiliano ya Blogu.

1 comment:

Post Bottom Ad