HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, June 25, 2011

MKAZI WA DAR ES SALAAM AJISHINDIA MILIONI MOJA KUTOKA AIRTEL

Cheza Ushinde, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano,Beatrice Singano Mallya, akikabidhi hundi kwa mshindi Juhudi Mbwana mkazi wa Dar es Salaam aliyeshinda shilingi milioni moja katika promosheni ya kwanjuka sms. Jumla ya washindi watano wanaendelea kujishindia milioni moja kila mmoja na mshindi wa milioni tano kila wiki.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad