HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, June 1, 2011

MAANDALIZI YA BARABARA ZA CHINI KWA CHINI YAZIDI KUSHIKA KASI JIJINI DAR

Huu mchanganyiko hapa sio maka ni wa makusudi,bali ni sehemu ya kukwepa mashimo ambayo yapo katika maandalizi ya barabara za chini kwa chini.
Hapa ni Kariakoo mtaa wa Msimbazi.
Msela akiruka ili kupisha gari lililokuwa likikatiza kwa mbwembwe katika mashimo ya Upanga ambayo yapo katika maandalizi ya kudumu ya ujenzi wa barabara za chini kwa chini ndani ya jiji la Dar.
Raundi abauti imepangwa kuwekwa hapa kwa ajili ya kutenganisha njia za barabara hizo.
La Wagonjwa likilazimika kupita kando kando ya barabara ili kukwepa sehemu ya mashimo yaliyo katika maandalizi ya barabara za chini kwa chini.
kitu hiki.





Upanga hapa katika makutano ya barabara ya kwenda hospitali kuu ya Taifa (Muhimbili).

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad