HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, June 2, 2011

JUMUIYA YA WACHINA NCHINI WASHEREHEKEA SIKU YA MTOTO NA WATOTO YATIMA WA KITUO CHA KURASINI

Xu Wu (Kushoto) kutoka Jumuia ya wachina waishio nchini Tanzania akimkabidhi nesi Eulelia Michael (kulia) kutoka kituo cha kulelea watoto Yatima cha Kurasini jijini Dar es Salaam maboxi yenye dawa za kutibu ugonjwa wa maralia kwa watoto . Wachina hao walitetembelea kituo hicho jana kwa ajili ya kusherehekea siku ya mtoto pamoja na watoto yatima na kuwapatia zawadi mbalimbali zikiwemo nguo, masanduku ya kuwekea nguo, vyakula, viatu, madawa na vifaa vya kuchezea.
Bai Ling Bo ( wa tatu kushoto) kutoka Jumuia ya wachina waishio nchini Tanzania akimkabidhi Margaret Mkandawire (kulia) ambaye ni Mkuu wa kituo cha kulelea watoto Yatima cha Kurasini jijini Dar es Salaam zawadi za kuchezea watoto wa kituo hicho. Wachina hao walitetembelea kituo hicho jana kwa ajili ya kusherehekea siku ya mtoto pamoja na watoto yatima na kuwapatia zawadi mbalimbali zikiwemo nguo, vyakula, masanduku ya kuwekea nguo viatu, madawa na vifaa vya kuchezea.
Watoto kutoka kituo cha kulelea watoto Yatima cha Kurasini jijini Dar es Salaam wakimba wimbo wa kuelezea jinsi wazazi wanavyowatelekeza watoto wao wakati Jumuia ya wachina waishio nchini Tanzania walipowatembelea . Wachina hao walitetembelea kituo hicho jana kwa ajili ya kusherehekea siku ya mtoto pamoja na watoto yatima na kuwapatia zawadi mbalimbali zikiwemo nguo, viatu, masanduku ya kuwekea nguo, vyakula, madawa na vifaa vya kuchezea.
Baadhi ya wachina kutoka Jumuia ya wachina waishio nchini Tanzania wakiwa na watoto kutoka kituo cha kulelea watoto Yatima cha Kurasini jijini Dar es Salaam mara baada ya kumaliza kuwagawia zawadi. Wachina hao walitetembelea kituo hicho jana kwa ajili ya kusherehekea siku ya mtoto pamoja na watoto yatima na kuwapatia zawadi mbalimbali zikiwemo nguo, viatu, masanduku ya kuwekea nguo, vyakula, madawa na vifaa vya kuchezea.
Mtoto Nyambu Jumanne wa kituo cha kulelea watoto yatima cha Kurasini jijini Dar es Salaam akichezea kifaa cha kukimbiza upepo alichopewa na Jumuia ya wachina waishio nchini Tanzania. Wachina hao walisherehekea siku ya mtoto jana pamoja na watoto yatima wa kituo hicho na kuwapatia zawadi mbalimbali zikiwemo nguo, masanduku ya kuwekea nguo, vyakula, viatu, madawa na vifaa vya kuchezea.
Jumuia ya wachina waishio nchini Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na watoto pamoja na walezi kutoka kituo cha kulelea watoto Yatima cha Kurasini jijini Dar es Salaam. Wachina hao walitetembelea kituo hicho jana kwa ajili ya kusherehekea siku ya mtoto pamoja na watoto yatima na kuwapatia zawadi mbalimbali zikiwemo nguo, viatu, masanduku ya kuwekea nguo, vyakula, madawa na vifaa vya kuchezea.Picha na Anna Nkinda - Maelezo

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad