HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, June 9, 2011

HAYA MAJI YANAENDA KUFANYIWA KAZI GANI??

Kamera ya Mtaa Kwa Mtaa leo imemnasa mshua huyu alichota maji katika mtaro uliopo kandokando ya barabara ya mtaa Mirambo.haikufahamika mara moja alikuwa akiyapeleka wapi maji hayo na ni kwaajili ya kuyafanyia kazi gani.
Mshua huyo akipiga mbizi katika mtaro huo ili kuchota maji.

2 comments:

  1. hahahahah
    haya maji ndio yanatumika kuoshea mikoko yeti, (magari)
    kisha ukija anadai umlipe buku, au buku 2 hadi tatu, wengine hadi elfu 25, kwa kuoshea maji ya mataro. yeye anachota kisha anawasambazia wale jamaa, mengine yanatumika kuoshea matunda, hasa kwa wale wauza matunda town, na mihogo hahahahah
    hata kusuuzia sahani za chips

    mdau
    ekonjo

    ReplyDelete

Post Bottom Ad