Mwanamuzi bora wa Hip Hop, Joe Makini akitumbuiza wakati wa tamasha la wanamuzi walioshinda tuzo za Kilimanjaro Music 2011 lililofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza na kudhamini na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia bia yake ya Kilimanjaro.
Mwanamuzi bora wa nyimbo za kizazi kipya bongo fleva, Twenty Percent akitumbuiza wakati wa tamasha la wanamuzi walioshinda tuzo za Kilimanjaro Music 2011 lililofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza na kudhamini na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia bia yake ya Kilimanjaro.
Mashabiki kibao walijitokeza mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa CCM Kirumba,Jijini Mwanza kushuhudia burudani iliyokuwa ikiporomoshwa na washindi wa tuzo za Kili Music Award 2011.

No comments:
Post a Comment