Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnayue,akizunguma na wanafunzi hao wa UDOM.
Mwenyekiti mstaafu wa CCM tawi la CCM, Chuo cha Sanaa, Lugha na Sayansi ya Jamii, Chuo Kikuu cha Dodoma, Salum Nyambi, ambaye anasoma shahada ya Uhusiano wa Kimataifa, akimkabidhi kitabu cha Azimio la Arusha, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye, katika sherehe ya kuwaaga wahitimu wa mwaka wa tatu wa chuo hicho, iliyofanyika jana kwewnye ukumbi wa Kilimani mjini Dodoma.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnayue akimkabidhi cheti cha mwanachama mwaminifu wa CCM, Dotto Omari, katika sherehe ya kuwaaga wahitimu wa mwaka wa tatu wa chuo hicho, iliyofanyika jana kwewnye ukumbi wa Kilimani mjini Dodoma.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnayue akimkabidhi cheti cha mwanachama mwaminifu wa CCM, Mwenda Omari, katika sherehe ya kuwaaga wahitimu wa mwaka wa tatu wa chuo hicho, iliyofanyika jana kwewnye ukumbi wa Kilimani mjini Dodoma.
Nape akizungumza na Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya sherehe hizo, Kitima Thomas
Baadhi ya wahitimu wa mwaka watatu Chuo cha Sanaa, Lugha na Sayansi ya Jamii, Chuo Kikuu cha Dodoma, wakiwa kwenye sherehe hiyo.Picha na Bashir Nkoromo.

pamoja na uhamasishaji mkubwa wa baadhi ya waandishi wa habari wa baadhi ya magazeti nchini minilijua hakuna hata kijana mmoja vyuo vikuu hapo nyumbani anae ipenda ccm ama kweli hiyo ndio bongo
ReplyDelete