HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, May 22, 2011

HAYA NDIO YANAYOENDELEA JIJINI DAR

Upanga mitaa ya Faya kama ukitokea Msimbazi,Kariakoo.
Hapa ni Upanga kwenye kona ya kuelekea hospitali kuu ya Taifa,Muhimbili ambapo ni kwa muda mrefu sasa iko namna hii.sasa sijui ni kwanini imeacha hivi kwa kipindi chote hicho??
Yaani gari yako inaingia namna hii kwenye shimo mpaka unatamani kulia.
Cheki shimozz hili.
yaani inatia hasira sana kwa kweli.
Barabara ya Msimbazi hii.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad