HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, May 24, 2011

EU YAKABIDHI GARI KWA WIZARA YA UJENZI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Mhandisi Omar Chambo akijaribu kuwasha gari moja aina ya TOYOTA Land Cruiser Station Wagon lenye thamani ya shilingi milioni 82 za kitanzania kutoka kwa Msimamizi mkuu wa Sekta ya Miundombinu katika Jumuiya ya Ulaya (EU Head of Infrastructure)Mr. Adam Grodzicki (kulia )kwa ajili ya kusaidia sekta ya usafiri katika Wizara ya Ujenzi iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu katika Wizara ya Uchukuzi,Mhandisi Omar Chambo (kulia) akipokea ufunguo wa gari moja lenye thamani ya shilingi milioni 82 za kitanzania kutoka kwa Mkuu wa sekta ya Miundombinu katika jumuiya ya Ulaya ( EU Head of Infrastructure) Mr. Adam Grodzicki (mwenye miwani) kwaajili ya kusaidia sekta ya usafiri katika Wizara ya Uchukuzi.
Gari lililokabidhiwa kwa Wizara ya Uchukuzi leo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad