HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, May 23, 2011

CHEZEA MAJI YA UGWADU WEWEEE.....!!

hapo wenyewe wanajiona kama wako beach vilee,tena wanajiona wako juu ya mchanga wa bahari.utawatakaaaaaaa.......

3 comments:

  1. Mungu wangu wasaidie, ujinga ni kitu kibaya. Wazungu wanahangaika ulaya kutafuta madawa ya kuzuia magonjwa ya waafrika! Magonjwa tunayojitakia!

    ReplyDelete
  2. Yaani hapo hawasikiki wala hawaambiliki,hapo ni mwendo wa vyombo kwa kwenda mbele.

    ReplyDelete
  3. Alafu Kuna Kitu cha TOILET kwa mbali kuleee Mmekiona nacho kinachangia maji ya BEACH..... ULEVI NOMAAAA! Fundo moja tu la Ziada watavua nguo waanze ogelea!!!

    ReplyDelete

Post Bottom Ad