HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, April 3, 2011

wadau kibao ndani ya flava nite at Mzalendo pub

Toka kulia ni Mdau Iman Kajura,George Njogopa pamoja na Mdau wakikamua vilivyo ndani ya Flava Nite at Mzalendo pub usiku wa kuamkia leo ambapo kulipigwa magoma ya enzi zilee za madisco ya kuhesabu hapa mjini ambapo kila alijikuta akizama kati na kuyarudi magoma hayo..
Richie na JP wakiwakilisha ndani ya Flava Nite usiku wa kuamkia leo.
Venture (shoto) na Mdau.
Super Model,Ally Dax (kati) akiwa na Mbunifu wa mavazi,Gabriel (kulia) pamoja na Mdau.
Jeff na Dj Oscer.
Dj Bon Lov kati mashine akihakikisha kila kitu kinakwenda vyema.
Mdau Haki Ngowi (kati) akiwa na Wadau wengine ndani ya Flava Nite.
Full Kuwakisha wakubwaa..
Picha ya Ukumbusho.
Mambo yamekolea katikati ya Dansingi floo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad