HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, April 7, 2011

Hitma ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Yasomwa leo Visiwani Zanzibar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dr. Jakaya Kikwete (kulia) pamoja na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, (wapili Kulia) wakijumuika na viongozi wengine katika kumuombea dua marehemu Mzee Abeid Amani Karume,katika kaburi afisi kuu ya CCM Kisiwandui leo.
Rais wa Zanzibar,Dk. Ali Mohamed Shein,akiweka shada la mauwa katika kaburi la Muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar Mzee Abeid Amani Karume leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dr. Jakaya Kikwete (tatu kulia) pamoja na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein (tatu kushoto) wakijumuika pamoja na viongozi wengine kusoma hitma ya kumuombea dua Muasisi wa Mapinduzi,na Rais wa Kwanza wa Zanzibar Abeid Amani Karume,Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar.
Mama Fatma karume,(wa tatu kushoto) na wake za Marais mama Mwanamwema shein,Mama Salma Kikwete,pamoja na Viongozi mbali mbali walijumuika katika kumuombea dua marehemu Mzee Abeid Amani Karume,katika kaburi lake,afisi kuu ya CCM Kisiwandui leo.Picha na Ramadhan Othman.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad