HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, April 2, 2011

chombo cha mkongwe Mafumu Bilal

Hiki ndicho chombo akitumiacho Mwanamuziki Mkonge na Mpuliza Mdomo wa Bata Hodari (Saxophone) katika bendi za muziki wa Dansi,Mzee Mafumu Bilal kikiwa kimepaki mitaa flani kama kamera ya Mtaa kwa Mtaa ilivyoweza kukinasa chombo hiki.

1 comment:

  1. Yaonekana kama ni moja kati ya pikipiki za sarakasi kule india. Ama mzee mafumu kawa mwana sarakasi ? yawezekana pia ni traffic wa kihindi maana hiyo pikipiki inazana zote.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad