HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, March 31, 2011

ZIFF kuelekeza nguvu zake katika elimu ya filamu mwaka huu


Habari Wadau wote wa Tasnia ya Filamu Tanzania.
Zanzibar International Film Festival (ZIFF) mwaka huu imeamua
kuelekeza nguvu zote katika kuhakikisha elimu madhubuti ya
utengenezaji filamu hapa Tanzania unakua na kufikia kiwango
kinachostahili.

Mwaka huu 2011 katika Tamasha la 14 la Nchi za Jahazi, ZIFF inatangaza
Workshops zifuatazo: -
1. HD CAMERA
2. DOCUMENTARY PRODUCING By Donall McCusker
3. DOCUMENTARY PITCH By Dockanema
4. DOCUMENTARY DIRECTING By Nick Broomfield
5. SONG WRITING By Eric Wainaina
6. WRITING FOR ANIMATION By Caludia Llyod
7. SCRIPT WRITING By MAISHA LAB (Uganda) – Watatoa maelekezo yao
8. FILM PRODUCTION TECHNIQUES By Dutsche Welle

Mahitaji kwa muombaji>
Tuma barua pepe/email kuelezea kwanini upewe nafasi hiyo?
Pia ambatanisha CV/resume yako
Tunapokea maombi kuanzia sasa na mwisho ni April 20, 2011

Maombi yote yatumwe kwa daniel.nyalusi@ziff.or.tz

Wako katika Kiwanda cha filamu

Daniel Nyalusi
Festival Manager
Zanzibar International Film Festival

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad