HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, March 30, 2011

URBAN PULSE PRODUCTION FOR VODKA


Salam,

KASSU Ent ikishirikiana na URBAN PULSE CREATIVE wanakuleta fashion show for london iliyofanyika hivi karibuni London Hilton Hotel ikidhaminiwa na Kampuni ya kinywaji cha VODKA. Show hii huandaliwa kwa ajili ya Fashion Designers wanao chipukia ama wanao onekana kana kwamba wataenda mbali kwenye fani hiyo.

Asanteni
URBAN PULSE CREATIVE

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad