Marehemu Mzee Francis R. Ndukeki Enzi za Uhai wake.
Ni masaa,miezi imepita tangu ulipotutoka mpaka leo umetimiza mwaka mmoja sasa.
Familia ya Marehemu Francis Rweyemamu Ndukeki inakukumbuka hususani mkeo, Ma Elizabeth, watoto wako Egbert, Fides,Frank,Kemi, Modesta na Evance.wajukuu zako Andrew, Tamika na Rowena.Kiroho upo nasi ingawa kimwili umetuacha.
Misa ya kumbukumbu itafanyika nyumbani,kijijini Kagondo Muhutwe-Muleba,mkoani kagera leo jioni.
Bwana ametoa na bwana ametwaa.Jina la bwana lihimidiwe.
-Amen
No comments:
Post a Comment