HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, February 26, 2011

Vodacom Foundation yatoa msaada wa mradi wa kuku kwa kituo cha Rafiki Child Care Home

Mkurugenzi mahusiano wa Vodacom Foundation Mwamvita Makamba akiwakabidhi vifaranga vya kuku watoto waishio katika mazingira magumu wa kituo cha Rafiki Child Care Home kilichopo Mererani wilaya Simanjiro mkoani Manyara,Mfuko huo umetoa msaada wa jengo la kufugia kuku vyote vikiwa na thamani ya Milioni 15.
Mkurugenzi wa Vodacom kanda ya kaskazini Nguvu Kamando , Mkurugenzi mahusiano wa Vodacom Foundation Mwamvita Makamba na Mtoto aishie katika mazingira magumu wa kituo cha Rafiki Child Care Home cha Mererani Miriam Muya wakiweka vifaranga vya kuku kwenye banda mara baada ya kukabidhiwa msaada wa mradi huo wenye thamani ya shilingi Milioni 15.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad