HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, February 27, 2011

ARTI-TZ YAKABIDHI TAA ZA SOLA KWA WAHANGA WA GONGO LA MBOTO

Mkurugenzi wa Appropriate Rural Institute Technology-Tanzania (ARTI-TZ), Bw. Nachiket Potnis (kulia) akimkabidhi mwakilishi wa kutoka Clouds Media Group Bw. Cathbert Kajuna msaada wa taa za sola 100 zenye dhamani ya shilingi milioni 5 zilizotolewa na kampuni hiyo kwa ajili ya wahanga wa mlipuko wa mabomu uliotokea Gongo la Mboto. Msaada huo wa taa za sola aliukabidhi leo katika ofisi za Clouds Media Group zilizopo Mikocheni jijini Dar es Salaam ambapo taa hizo zinatarajiwa kupelekwa kwa wahanga hao kesho jumatatu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad