hili ndilo eneo linaloitwa kwa Mama Zakaria,Mwananyamala.Natumai mliopitia mtaa huu mtakua mnapanyaka vyema kabisa hapa.
Babu hapo ndio mitaa ya home kabisa nilikuwa nashuka mwananyamala A nakula boda kwa boda hadi k'nyama ndio home kwetu
ReplyDeletemdau kutoka state
Home paleeeeee tulio kulia huo mara tujuane plzzza
Delete