HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, December 30, 2010

mvua ya siku moja tu mambo ni hivi, ikinyesha mwezi mzima itakuwaje??

hiki ni kipande cha Kijitonyama/Mwananyala.kipande hiki kimekuwa na dimbwi kubwa sana la maji ambalo limetokana na mvua iliyonyesha siku kadhaa zilizopita.sijui Serikali yetu inampangoi gani na hizi njia ndogo ambazo mara nyingi husaidia kufunguza foleni katika mabarabara makubwa.
Gari zikipita kwa tabu katika dimbwi hilo.

1 comment:

  1. Othman huku hata mimi nimepita nimeshangaa sana halafu kuna sehemu zimechimbika huwezi kuamini kwamba hiyo barabara juzi juzi tu ilikuwa level.

    Jeff

    ReplyDelete

Post Bottom Ad