Msanii wa muziki wa Kizazi kipya, Judith Wambura (Lady Jay Dee), akionyesha chupa ya maji wakati alipozungumza na waandishi wa habari jijini Dar leo, alipokuwa akizindua rasmi maji yake ya Chupa yanayojulikana kwa jina la Lady Jay Dee. Uzinduzi huo ulifanyika kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Paradise City jijini leo mchana.
Lady Jay Dee akipozi na chupa zake za maji mara baada ya kuyazindua rasmi katika hoteli ya Paradise,Benjamin Mkapa Tower jijini Dar.
Chupa za maji hayo jinsi zinavyoonekana, huu ndiyo Muonekano wake.
Lady Jay Dee akiwa katika pozi la picha na Mashosti zake baada ya uzinduzi huo.
Picha na Sufiani Mafoto Blog
No comments:
Post a Comment