HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, November 29, 2010

Uso Kwa Uso na Mh. Faustine Ndungulile

Leo katika pita pita zangu za Mtaa Kwa Mtaa,nilibahatika kukutana na Mh. Dr. Faustine Ndungulile(shoto),Mbunge wa jimbo la Kigamboni ambaye pia ni mdau mkubwa sana wa Mtaa huu.hii ilikuwa ni katika sehemu ya maakuli pale CheifPride.kulia ni Mwanalibeneke MK.

1 comment:

  1. Hapo naona ilikuwa Poa sana! Ningefurahi siku moja kukutana na hata mmoja katika mkutano huo!

    ReplyDelete

Post Bottom Ad