HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, November 14, 2010

unique model 2010


Mchujo wa kuwatafuta wanamitindo wenye sifa za kitofauti yaan "Giaffe unique model" utafanyika jumamosi hii ya tarehe 20 mwezi wa kumi na moja katika hoteliyenye hadhi ya nyota nne Giraffe ocean view hotel katika ukumbi wa jet 1.

 Akiongea na blog hii, mratibu wa shindano hilo bwana Magese Methuselah Magese amesema kuwa unique model ni shindano la kizalendo lenye nia mahususi ya kukuza tasnia ya mitindo na wanamitindo wachanga nchini Tanzania kwa kuleta umoja,mafanikio na kuhimiza mapinduzi ili tasnia hii iwe ajira kamili kwa wanamitindo wa hapa nchini kinyume na ilivyo sasa.

 Magese amesema ikiwa vyombo vya habari vitaunga mkono mapinduzi haya kwa kutangaza habari za mitindo,wamamitindo na wabunifu wa ndani kwa wingi itageuza mtazamo wa watanzania wengi kuondokana na utamaduni wa kuvaa nguo za kutoka nje ya nchi pekee badala yake waqpende kuvaa nguo zilizobuniwa na wabunifu wa Tanzania.

" Hii itachangia wabunifu kuwa na kipato kikubwa na maonyesho ya mavazi yatakuwa mengi ambapo wanamitindo watafaidika kwa kulipwa kwa kiwango chajuu,aidha vyombo vya habari vikitangaza sana tasnia hii jamii itapenda zaidi hata makampuni mengi yatajitokeza kuwekeza na kujitangaza kwa kudhamini shughuli za mitindo nchini Tanzania kitu ambacho kitaongeza pato la taifa na kpato cha mtu mmojammoja.

Wito umwtolewa kwa waschana wote wajiona wana kigezo cha kushiriki shndano hili lenye hadhio ya kitaifa wajitokezekwaajili ya mchujo tarehe 20 novemba saa sita mchana katika hoteli ya giraffe iliyopo maeneo ya africana mbezi beach ambapo majaji wetukanumb steven kanumba,miriam gerald,ali remtulah,vitoria martin na asia idarous watatenda haki katika kuchagua wasichana kumi bora wataoingia moja kwa moja katika shindano hilo.

Unique Entwrtainment ambao ndio waandaji wa Giraffe unique model 2010 wameshukuru sapoti wanayopata kupitia vyombalimbali vya habari hususani Global publishers ambao wanafanya kazi kubwa kupindukia "'kwa maelezo ya kila siku tembelea blog yetu

uniqueentertz.blogspot.com
alimaliziakusema magese.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad