Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi (kulia) akiteta jambo na Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM na Mjumbe wa Baraza la Wazazi, Rajab Mwilima, wakati wa hafla ya kuapishwa Waziri mkuu iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma hivi karibuni.

Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akizungumza na Mjumbe wa Baraza Kuu la Wazazi, Mwilima, wakati wa sherehe za kuapishwa Waziri Mkuu, zilizofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment