HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, November 23, 2010

Rais Kikwete azindua Airtel

Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete na mkurugenzi wa kampuni mpya ya simu za mikononi ya Airtel Bwana Sam Elangallor wakionesha nembo mpya ya Kampuni hiyo baada ya kubadilishwa kutoka Zain na kuwa Airtel, katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam jana jioni(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad