HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, November 17, 2010

mtaa kwa mtaa ndani ya jiji la mwanza

chombo hicho,kinajulisha mahala ilipo hoteli ya Tunza ilipo pembezoni mwa barabara kuu itokayo ea poti ya jiji la Mwanza.
kiota cha Isamilo hicho.
vibao vya kuonyesha umbali katika maeneo mbali mbali ya nchi kilichpo nje tu ya uwanja wa ndege wa Mwanza.
barabara hadi inavutia kwakweli.
kitu kipya kinapanda hapa,yaani jiji la Mwanza lazidi kuwa tambaralee siku hadi siku.
Urio lea ngoma imemdodea,sijui alisahau kwamba sikukuu hii ni ya kuchinja??
ukuta wa uwanja wa Nyamagana.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad