HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, November 1, 2010

mambo yalivyokuwa tandika,jijini dar leo

Wafanyabiashara hapakukalika hivyo walilazimika kusitisha huduma kwa muda.Hivi ndivyo hali ilivyokuwa katika kitongoji cha Tandika mara baada ya kuchelewa kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi mkuu.Hali hiyo ambayo ililete mtafaruku mkubwa sana katika eneo hilo mpaka kupelekea jeshi la Polisi kufika katika eneo hilo na kuanza kutuliza ghasia zilizokuwa zikiendelea katika eneo hilo,ambapo maduka yalifungwa na wamiliki wake kulazimika kuondoka kabisa katika eneo hilo.hadi mpiga picha wetu mkuu Francis Dande anaondoka katika eneo hilo,ni kwamba mambo yalienda poa na vurugu ziliweza kudhibitiwa kabisa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad