HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, November 28, 2010

Kiota Kipya Cha Internet Chafunguliwa Sinza Afrika Sana

Wadau waperuzi mambo katika mitandao.

KIOTA SAFI KWA MATUMIZI YA INTERNET, NA MAHITAJI YA STATIONARIES, PIA TUNATOA HUDUMA ZA INTERNET WIRELESS SERVICE KWA WALE WENYE LAPTOP,KWA HUDUMA YA HARAKA NA SAFI KABISI KATIKA TEKNOLOGIA YA MTANDAO WA INTERNET NA & NA INTERNET NDIO SEHEMU PEKEE YA KUPATA HUDUMA HIZO. NI INTERNET PEKEE INAYOFANYA KAZI KWA SAA 24 KWA KUJALI WATEJA MUDA WOWOTE.

HUDUMA ZINGINE NI KAMA :

- Photocopy, -Lamination, -Scanning, -Printing, -Fax nk.

TUPO SINZA -AFRIKA SANA - PEMBENI YA DUKA LA NGUO LA ZIZZOU FASHION au opposite na Corner Bar

KARIBUNI WOTE

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad