kutokana na mgao wa umeme unaendelea hivi sasa hapa jijini,basi kila kona ukipita lazima ukutane na mashine hizi,yaani jiji zima ni kelele kwa kwenda mbele.sijui utamalizika lini huu mgao??
No comments:
Post a Comment