
maana hapo hilo daladala linapakia abiria huku likiwa barabarani,wakati sehemu ya kituo ipo lakini imejaa malori ya mizigo,kiasi kwamba hakuna hata sehemu ya kuegesha madalada haya na kupakia abiria kwa usalama.halafu ni kama na kivuko cha waendao kwa miguu kinahitajika mahala hapa.sio mahali pengine bali ni sehemu ya Mabibo kituo kijulikanacho kama Gereji,katika barabara ya Mandela rodi.
CCM iyo
ReplyDelete