HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, November 13, 2010

enzi hizoooo

hii picha nimekutana nayo mahali flani hivi,lakini kila nikijaribu kutaka kuwatambua watu hawa naona chenga tupu zaidi zaidi ni mmoja tu ndiye nilieweza kumtambua kwa haraka lakini wengine woote waliobakia naona chenga tu.hebu tusaidiane wajameni.mie hapo nimemtambua Dr. Remmy Ongala tu (aliesimama upandea wa kushoto.) haya wadau tujaribu kuweka sawa kumbukumbu zetu.

2 comments:

  1. Hii naona ni Super Matimila enzi ileee. Ni kweli Wa kwanza kwa waliosimama ni Remmy Ongala akifuatiwa na baba Diana ama Abu Semhando yule mkaanga chips Wa Twanga. Wengine kwa kweli sina kumbukumbu nao, baba Diana tupe data

    ReplyDelete
  2. Orch.Super Matimila
    Kutoka Kushoto ni:Remmy Ongala(Kaokoka),Abou Semhando(Twanga),Kasaloo Kyanga na Mose Fan Fan(UK).
    Walio chuchumaa kulia ni:Skassy Kasambula(Nairobi)

    ReplyDelete

Post Bottom Ad