
Diamond akikamua huku akiserubuka na mashabiki wake
Urban Pulse inapenda kuwaletea yaliyojiri ndani ya Urban Tour MILTON KEYNES.
URBAN PULSE inapenda kuwashukru wale wote waliokuja kutoa support. Show inayofuatia itafanyika 12.11.10 Croydon London
wote Mnakaribishwa
Urban Pulse Creative
No comments:
Post a Comment