HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, November 2, 2010

baadhi ya wabunge waliopeta katika uchaguzi mkuu mwaka huu

Mh. Joseph Mbilinyi a.k.a Mr II a.k.a Sugu anyakua Jimbo la Mbeya Mjini - CHADEMA.
Mh. Vicent Nyerere,Jimbo la Musoma Mjini - CHADEMA
Mh. Peter Serukamba,Jimbo la Kigoma Mjini - CCM
Mh. Mustafa Mkullo,Jimbo la Kilosa - CCM
Mh. Vita Kawawa,Jimbo la Namtumbo - CCM
Alhaj Ismail Aden Rage,Jimbo la Tabora Mjini - CCM
Mh. John Mnyika,Jimbo la Ubungo - CHADEMA.
Mh. Dr. Cyril Chami,Jimbo la Moshi Vijijini - CCMMh. Amos Makala,Jimbo la Mvomero - CCMMh. Augustino Lyatonga Mrema,Jimbo la Vunjo - TLP Mh. Freeman Mbowe,Jimbo la Hai - CHADEMA
Mh. Zitto Zubeir Kabwe,Jimbo la Kigoma Kaskazini - CHADEMA

2 comments:

  1. nyinyi naona mmezidiwa akili na hawa jamaa wenye asili ya kisomali, ka kinana, ki aden mmoja kasimamia uchaguzi haramu wa ccm na mwingine mfisadi wa TFF, aibu tupu inaendelea !!!! msomali wa dom

    ReplyDelete
  2. acha urangi ndezi we mr nyepesi kabwe mheshimiwa

    ReplyDelete

Post Bottom Ad