

watu wengi walijitokeza leo katika viwanja vya mnazi mmoja kuhudhulia tamasha la filamu za ulaya zinazoendelea kuonyeshwa kwa wiki ya pili sasa.

Qeen Suzy wa twanga pepeta akiongoza safu ya ushambuliaji kwa wanenguaji wa bendi wakati wa tamasha la filamu za ulaya linaloendelea kwa wiki ya pili sasa huku simu za mapumziko ya wiki tamasha hilop hufanyika katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar.
No comments:
Post a Comment